Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Leo Ajira Portal; Leo, tarehe 28 Oktoba 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza orodha ya walioitwa kazini kupitia mfumo wa Ajira Portal. Tangazo hili linahusisha watu ambao walifanya maombi ya kazi ...