Majina ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba ; Baada ya matokeo ya mtihani wa darasa la saba nchini Tanzania, Yaliotoka hivi karibuni,wanafunzi  wanatarajia kupangiwa shule za sekondari. Mchakato huu ni muhimu sana katika mfumo wa elimu, kwani unatoa fursa kwa ...

Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024/2025: Hatua za kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Karibu kwenye ujuzijamii, tovuti yako ya kuaminika kwa habari za elimu Tanzania. Hivi karibuni, matokeo ya mtihani wa darasa la saba (NECTA) yalitangazwa, hatua inayofuata ni kutangazwa kwa ...