Je, Unampenda Mtu Kweli Ikiwa Unamcheat? Sababu za Kusaliti Wapendwa Mapenzi ni jambo gumu kuelewa, na usaliti wa kimapenzi hufanya hali iwe ngumu zaidi. Je, inawezekana kumpenda mtu kweli huku ukimcheat? Na kwa nini watu husaliti, hata wanapodai wanampenda mwenza ...