Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu NBC 2024/2025; Klabu ya Simba, moja ya vigogo wa soka Tanzania, inajipanga vilivyo kwa msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu NBC. Msimu huu, Simba SC inapania kuvunja rekodi na kutwaa ubingwa, ikiwa na ...