Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba NECTA, Matokeo ya darasa la saba, Katika mfumo wa elimu nchini Tanzania, matokeo ya mtihani wa darasa la saba yanachukua nafasi muhimu sana. Mtihani huu, unaojulikana kama Primary School Leaving Examination (PSLE), ...