Jinsi ya Kuangalia Majina ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024 kwenda Kidato cha Kwanza Mwaka wa 2024 ni mwaka wa furaha na matarajio kwa wanafunzi wengi wa Darasa la Saba ambao wamepangiwa shule za Sekondari kwa mara ya kwanza. ...