Jinsi ya Kukabiliana na Hali ya Kutojiamini Kazini; Kutojiamini ni hali ambayo wengi wetu hukabiliana nayo kwa nyakati tofauti, hasa katika mazingira ya kazi. Inaweza kusababishwa na mambo kama shinikizo la kazi, kukosa uzoefu, au kutokuwa na uhakika na uwezo ...