Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Facebook ya Biashara, jinsi ya kufungua page ya facebook ya biashara Kufungua akaunti ya Facebook ya biashara ni hatua muhimu kwa mfanyabiashara yeyote anayetaka kukuza bidhaa au huduma zake mtandaoni. Facebook inatoa jukwaa kubwa la ...